Zitto Kabwe apata mtoto wa kike

Taratibu mkuu, nani unamuita binti?? Usiangalie avatar tu, uwe unaangalia na ID
picha ya prorile mkuu The bold ina maana ya picha ya mmiliki wa ukurasa, hayo yamesababishwa na kuwepo picha tofauti, (nawaza kwa sauti)
 
Ni sawa! Lakini si mbaya mda mwingine kumuonyesha makhaba mwanamke wako walau kwa kuweka avatar yake kwa profile yako.. That's my girl na najua hata Mkuu KikulachoChako anafahamu ila ameamua afanye kusudi tu..
 
Honey...no need bwana![emoji19]
Kwanza uliyemquote anasema eti picha ya profile ina maana ya picha ya mmiliki wa ukurasa...WTF?
Ni wangapi wanaotumia Avatar za picha zao halisi humu?
Sasa kama ID's ni fake,Avatar fake pia wanakuandama ya nini?
Inashangaza kuona mtu anampangia namna ya kuishi asiyemjua.
Halafu anayepangiwa keshachagua namna yake ya kuishi.

Ni sawa! Lakini si mbaya mda mwingine kumuonyesha makhaba mwanamke wako walau kwa kuweka avatar yake kwa profile yako.. That's my girl na najua hata Mkuu KikulachoChako anafahamu ila ameamua afanye kusudi tu..
 
Ni ajabu kabisa..

Nilikuwa sitaki hata kumjibu, ila basi tu..
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani
 
Kuna watu wana Avatar za wanyama huku,miti,wadudu etc
Kwanini wasiwazonge?
Kwani kuna mnyama/mdudu/mti wenye access ya kuingia humu?
Watu bwana![emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Case closed..
 
Ni sawa! Lakini si mbaya mda mwingine kumuonyesha makhaba mwanamke wako walau kwa kuweka avatar yake kwa profile yako.. That's my girl na najua hata Mkuu KikulachoChako anafahamu ila ameamua afanye kusudi tu..
Nawapenda sana nifa na the bold na hayo ndio mahaba ya dhati, yenye ukweli sio wengine kujificha ficha tu wizi mtupu!!!! Hongereni mungu awakinge na husda.
 
Asante mpendwa wangu, at least mpo mnaotutakia mema hawa wachache wenye husda hawatushughulishi.
Allahuma Amiyn.[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…