Zitto Kabwe apendekeza TANESCO wauze hisa(20%) fedha itakayopatikana ilipe madeni, Waziri Makamba atoa maagizo

Nani anunue hisa za shirika mfu kama TANESCO
Hapa kanatengenezwa kaufisadi kengine.ujue tayari kuna mafisadi wameona huko kuna fursa na baada tu ya kufloat hizo share kataanzishwa kamchezo fulani hivi ili shirika lote liangukie mikononi mwa mafisa na makuwadi wa ubeberu.ni mchezo ule ule kama wa IPTL unaotaka kutengenezwa hapo.subirini tu huu ujinga wetu watz wa kushadadia mambo ck moja utakuja kutucost.NBC pia ilikuwa vile vile ikauzwa kwa bei ya kutupwa baadaye tukaanza kulalamika lkn tulikuwa wa kwanza kushadadia uuzwaji wake.
 


Tujikumbushe alichosema PM Majaliwa wakati alipoenda kuangalia maendeleo ya ujenzi wa bwawa la Nyerere:

Lengo la kuanzisha mradi huu ni moja ya juhudi za Serikali za kupunguza gharama za umeme kwa wananchi kwa sababu uzalishaji wake ni wa gharama nafuu ukilinganisha na vyanzo vingine. Uniti moja ya umeme unaozalishwa kwa kutumia maji inagharimu shilingi 36 hadi shilingi 50 huku umeme unaotumia vyanzo vya mafuta uniti moja inazalishwa kwa gharama ya shilingi 440 hadi shilingi 600.”
 
Bwawa la Nyerere:
Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato ameishukuru Serikali kwa kuwa wakati wote tangu kuanza kwa mradi huo hadi sasa imeendelea kutoa fedha za kugharamia mradi huo kwa wakati na tayari imeshatoa zaidi ya shilingi trilioni mbili. Hadi kukamilika mradi huo utagharimu shilingi trilioni 6.5.
 
Serikali imewekeza kwenye Ujenzi wa bwawa la Nyerere trilioni 6.5. Na wameshatoa trilioni 2.
Halafu watu wanataka kuja kula kilani!!
I just wonder…how can they sleep at night!!
 
Vacuum would suck everything in motion!
 
A
Wanataka kuibinafsisha TANESCO haki ya Mungu familiya za JK na Makamba zitakuwa na mwisho mbaya sana, Tamaa na ubinafsi itawaangamiza
Acha kulani watu wewe toambinu tofauti nahiyo huduma iboreke ndio dhamira kinyume nahapo nunua wewe hizo hisa ilituwe salama nafamilia ulizo zitaja zifevizuri
 
Wauze yote 100%, hakuna sababu ya serikali kuwa na shirika la kibiashara, wafanye tuu kama simu, waweke policy nzuri na wakaribishe wawekezaji washindane, milioni 60 ni wateja wengi sana
 
Hayo sio mawazo ya Zitto ni mawazo ya rushwa na ukiangalia ni mawazo ya wote wawili...Tanzania ibinafsishe vitu vyote lakini iache Tanesco iwe mali ya umma...Naona mambo ya gesi yanawashinda wamerudi kwa Tanesco.
 
Utapeli mtupu
 
Hayo sio mawazo ya Zitto ni mawazo ya rushwa na ukiangalia ni mawazo ya wote wawili...Tanzania ibinafsishe vitu vyote lakini iache Tanesco iwe mali ya umma...Naona mambo ya gesi yanawashinda wamerudi kwa Tanesco.
Zitto ni dalali
 
Tukizingatia ushauri wa namna hii ipo siku kuna mtu atakuja na wazo la kuuza ikulu ya DSM maana kuna ya dodoma tayari.
 
Kama Bei ya unit moja Hadi sabini ndio hiyo je na unainunua toka kwa mmiliki je ukiweka mtu Kati Bei itabaki kuwa hiyohiyo? Mbona hesabu ndogosana ndugu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…