GE2025 Zitto Kabwe ataka mdahalo na washindani wake kwenye jimbo la Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awaomba Wazee wa Kigoma kuitisha mdahalo baina yake na washindani wake katika jimbo hilo kisha kila mmoja aeleze yale aliyoyafanya katika jimbo hilo.

Ameyasema hayo Septemba 26, 2025 kwenye mkutano wake wa kampeni alioufanya katika Kata ya Kitongoni akieleza kuwa anaamini atakaposhiriki mdahalo huo atashinda kwani anayo mengi aliyoyafanya.

"Wengine wamekuja hapa kudanganya na kupiga kelele waeleze maoni yao ya ujiji ni nini, tukae tufanye mdahalo na mgombea yeyote, wazee wa mji tuiteni wagombea tukae kila mtu aeleze vision yake ya ujiji ni nini" amesema Zitto.

Zitto asubiri mdahalo kwenye sanduku la kura. Kwa maneno ya ulaghai ni mtu hatari
 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awaomba Wazee wa Kigoma kuitisha mdahalo baina yake na washindani wake katika jimbo hilo kisha kila mmoja aeleze yale aliyoyafanya katika jimbo hilo.

Ameyasema hayo Septemba 26, 2025 kwenye mkutano wake wa kampeni alioufanya katika Kata ya Kitongoni akieleza kuwa anaamini atakaposhiriki mdahalo huo atashinda kwani anayo mengi aliyoyafanya.

"Wengine wamekuja hapa kudanganya na kupiga kelele waeleze maoni yao ya ujiji ni nini, tukae tufanye mdahalo na mgombea yeyote, wazee wa mji tuiteni wagombea tukae kila mtu aeleze vision yake ya ujiji ni nini" amesema Zitto.

Mdahalo wa nini kwenye uchaguzi feki, hapo chawa anashindanishwa na chawa mwenzake kwenye hicho kiini macho wanachoita uchaguzi. Wanapotezea watu muda kwa huo upuuzi, tume itateua kutokana na maelekezo itakayokuwa imepewa. Bi Urojo alishakiri kuwa hao wanaotaka ubunge hapo kuwa wote ni chawa wake(alitumia usanii kusema 'watoto wake').
Watajijua watakayemteua, hakuna uchaguzi hapo akafie mbele huyo Zitto.
 
Zitto ni mwanasiasa ambae anakua kwa kurudi nyuma yeye hataki kugombea Urais?
 
Kwenye kuongea anaringia mavitabu take Ila Hana lolote sis vijana wa kigoma tjanenda na baba Levi zito akipataga anaaga Hamuoni Tena mpaka was 2030 emugaboo
 
Back
Top Bottom