Mdahalo wa nini kwenye uchaguzi feki, hapo chawa anashindanishwa na chawa mwenzake kwenye hicho kiini macho wanachoita uchaguzi. Wanapotezea watu muda kwa huo upuuzi, tume itateua kutokana na maelekezo itakayokuwa imepewa. Bi Urojo alishakiri kuwa hao wanaotaka ubunge hapo kuwa wote ni chawa wake(alitumia usanii kusema 'watoto wake').Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe awaomba Wazee wa Kigoma kuitisha mdahalo baina yake na washindani wake katika jimbo hilo kisha kila mmoja aeleze yale aliyoyafanya katika jimbo hilo.
Ameyasema hayo Septemba 26, 2025 kwenye mkutano wake wa kampeni alioufanya katika Kata ya Kitongoni akieleza kuwa anaamini atakaposhiriki mdahalo huo atashinda kwani anayo mengi aliyoyafanya.
"Wengine wamekuja hapa kudanganya na kupiga kelele waeleze maoni yao ya ujiji ni nini, tukae tufanye mdahalo na mgombea yeyote, wazee wa mji tuiteni wagombea tukae kila mtu aeleze vision yake ya ujiji ni nini" amesema Zitto.
Kuna ulaghai zaidi ya sanduku la kura bongo?!Zitto asubiri mdahalo kwenye sanduku la kura. Kwa maneno ya ulaghai ni mtu hatari
Mbeleko ya CHADEMA ndiyo alitegemea labda imuwezeshe kugombea urais, kaamua kuwa chawa mpaka kageuka kuwa Lipumba.Zitto ni mwanasiasa ambae anakua kwa kurudi nyuma yeye hataki kugombea Urais?
Zitto anasikitishaMbeleko ya CHADEMA ndiyo alitegemea labda imuwezeshe kugombea urais, kaamua kuwa chawa mpaka kageuka kuwa Lipumba.
πππππππ ni mzee wa projectZitto ni mwanasiasa ambae anakua kwa kurudi nyuma yeye hataki kugombea Urais?
Sana.Zitto anasikitisha