Mkuu unaelewa ata utaratibu wa kutangaza tenda lakini? Kwenye tenda yoyote Ile lazima kuwe na amount ambayo inatajwa kama kiingilio au mtaji, so Simba wangeweza ata kuandika 10ml ila mshinda zabuni ukaskia katoa 1bil, so sio kweli kwamba Simba walijilimit ispokuwa Huo ndio utaratibu wa kutangaza tenda, labda uhoji vitu vingine
Na kuhusu mwaka 2020/2021 Huo ni msimu wa ligi au mwaka wa kimpira na sio mwaka wa kuisha mkataba, kwahiyo Kwa lugha nyepesi ni kwamba huyo mshinda zabuni ataanza kutumikia nafasi yake msimu wa 2020/2021 na sio 2019/2020, mbona Mambo Mengine madogo sana na hayaitaji degree kuelewa, au kwakuwa zito kauliza nawewe umeona uulize Tu