Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

FYI: Kasome Article 20 of the Agreement sasa, that is not the conclusion, na hakuna mkataba bado, sasa sijui unazungumza kitu gani.
Yaani suala la rasilimali za Tanganyika ambazo ziko chini ya sheria za Tanzania maamuzi yake yakafanyikie south Africa kweli? Utakuja na upungufu wa akili, kwanza iyo unayoita MOU naona imeandikwa kihuni tu as if hakuna tunachooffer kitu kinacholeta mashaka
 
Mkataba wa kukubaliana na hili jambo ulisharidhiwa na Serikali yetu na ndiyo maana sasa Bunge leo linakwenda kubariki ili sasa kutoa fursa ya baadhi ya vifungu vya sheria zetu kubadilika ili kupisha ununuzi huu wa bandari kuwa sheria kamili.

Sasa hapa kama endapo, kwa kudra za mwenyezi Mungu wabunge wa CCM wakigoma kupitisha basi ni lazima tutashitakiwa kulipa gharama za usumbufu.

Kifupi tushapigwa tiari kama kawaida yetu.
 
Wewe unamwamini huyo mumeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…