J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Oct 1, 2020 #1 ..sina uhakika kama baada ya hotuba hii ya Zitto Kabwe wananchi wa Kigoma wataipigia kura CCM.
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Oct 1, 2020 #2 Katika watu nikiwasikiliza naona kuna kitu naongeza kichwani basi Zitto na mzee Lissu.
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Oct 1, 2020 #3 Anaweka nondo juu ya nondo.
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 1, 2020 #4 Hakika nchi hii tumejaliwa kuwa na vijana wenye maono makubwa ikiwemo Zitto