johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
"Din" = njia.Hoja ni nini? Hiyo sura inasema nini? Zitto kakisemea chama au kajisemea ye mwenyewe? Kama kakisemea chama Huko ACT hakuna Wakristo na wanaomini dini zingine?
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine...
😂😂😂💯hewaaa,,kila mtu ashinde mechi zake,kwa Mkapa hatoki mtu😅
Wana amini hakuna act bila ccm! Kwa hiyo wakimsena act wamemsema hasimu wao ccmHivi kwanini CHADEMA wapo very obsessives na ACT? wanashangaza sana kwa kweli
Kuna watu huwa wanasema dini ni moja tu!"Din" = njia.
Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
Social media tu ila mainstream sijawahi ona Hata Mbowe akiwataja.Hivi kwanini CHADEMA wapo very obsessives na ACT? wanashangaza sana kwa kweli
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu.Kuna watu huwa wanasema dini ni moja tu!
Wewe kilaza dini ni njia kwa wapumbavu maana njia zipo hadi potovu bali mimi nakuambia kila lilipo neno dini weka neno "haki" .......Dini maana yake ni kutenda haki na kutenda haki maana yake ni kuto kutenda dhuluma(maovu) msingi wa dini (haki) ni kujua mema na mabaya na kutenda mema ya haki....kwa kuwa neno dini lina husu Mungu na ilo neno maana yake ni haki, jibu hapo dini ni nini?"Din" = njia.
Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
Una haki na tafsiri yako, nna haki na tafsiri yangu.Wewe kilaza dini ni njia kwa wapumbavu maana njia zipo hadi potovu bali mimi nakuambia kila lilipo neno dini weka neno "haki" .......Dini maana yake ni kutenda haki na kutenda haki maana yake ni kuto kutenda dhuluma(maovu) msingi wa dini (haki) ni kujua mema na mabaya na kutenda mema ya haki....kwa kuwa neno dini lina husu Mungu na ilo neno maana yake ni haki, jibu hapo dini ni nini?
DINI NI = (HAKI YA MUNGU)
Hiyo siyo tafsiri yangu ni tafsiri kutoka mbinguni kwa huyo "Ala" wakoU
Una haki na tafsiri yako, nna haki na tafsiri yangu.
Povu peleka kwa mumeo.
Hiyo siyo tafsiri yangu ni tafsiri kutoka mbinguni kwa huyo "Ala" wako
Hayo uliyo andika ndiyo yana dhihilisha huyo ni laana wewe sasa hivi tangaza tz kuwa utatoa milioni 20 kwa kijana yoyote atakaye kubari adhabu ya kufadia viwanja vya hospital huone ni maelfu ya vijana watajitokeza tena kwa kugombania na wengine kwenda hadi kutafuta hirizi ili wapate hiyo adhabu ...unajua nini maana yake ni adhabu za kinafiki je wewe kibaka akimtoa jicho mtoto wako wakati anampora simu kisha ukaenda kwa mzazi wake huyo kibaka aka hukumu huyo mtoto wake hapewe adhabu ya kupiga pushapu moja utalidhika utagundua unafiki...watu wameiba mamilioni unawapa adhabu ya kufagia hospital [emoji849] je JPM alikuwa Rais kabisa akatoka kwenda kusafisha mitaro michafu hapo wewe unasemaje ? FaizaFoxyKikwete aliwaonjesha jela na kuwafagilisha viwanja vya hospitali ya Palestina, Mramba na Yona.