Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine

Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6

" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X

Mlale Unono 😄😄🔥
 
Furqan 109:6

"Ninyi mna dini yenu,nasi tuna dini yetu"
20230929_210533.jpg
 
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine...

Kwahiyo ACT imeshinda mechi yake? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣. Halfu mikwala ya kutumia quotes za kidini kama vile wanamaanisha🤣🤣🤣🤣🤣
 
"Din" = njia.

Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
Wewe kilaza dini ni njia kwa wapumbavu maana njia zipo hadi potovu bali mimi nakuambia kila lilipo neno dini weka neno "haki" .......Dini maana yake ni kutenda haki na kutenda haki maana yake ni kuto kutenda dhuluma(maovu) msingi wa dini (haki) ni kujua mema na mabaya na kutenda mema ya haki....kwa kuwa neno dini lina husu Mungu na ilo neno maana yake ni haki, jibu hapo dini ni nini?
DINI NI = (HAKI YA MUNGU)
 
U

Una haki na tafsiri yako, nna haki na tafsiri yangu.

Povu peleka kwa mumeo.
 
Kikwete aliwaonjesha jela na kuwafagilisha viwanja vya hospitali ya Palestina, Mramba na Yona.
Hayo uliyo andika ndiyo yana dhihilisha huyo ni laana wewe sasa hivi tangaza tz kuwa utatoa milioni 20 kwa kijana yoyote atakaye kubari adhabu ya kufadia viwanja vya hospital huone ni maelfu ya vijana watajitokeza tena kwa kugombania na wengine kwenda hadi kutafuta hirizi ili wapate hiyo adhabu ...unajua nini maana yake ni adhabu za kinafiki je wewe kibaka akimtoa jicho mtoto wako wakati anampora simu kisha ukaenda kwa mzazi wake huyo kibaka aka hukumu huyo mtoto wake hapewe adhabu ya kupiga pushapu moja utalidhika utagundua unafiki...watu wameiba mamilioni unawapa adhabu ya kufagia hospital [emoji849] je JPM alikuwa Rais kabisa akatoka kwenda kusafisha mitaro michafu hapo wewe unasemaje ? FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom