Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Social media tu ila mainstream sijawahi ona Hata Mbowe akiwataja.

Mbowe ni mtu anaejielewa, Ila inaonekanwa yanayofanyika yana Barka zake kwa njia moja au nyengine, mana BAVICHA ndio wanaotia aibu.
 
Zitto atambue hawezi kufanya siasa bila kujipima na wengine, ndio maana wao ACT kila siku huwa wanaimba hawataki siasa za maandamano, wao wanataka siasa za kukaa mezani kutongozwa na mtawala.

Kwani CHADEMA hua hawatongozwi?
 
Wakitongozwa wanakataa,ila hao wazalendo wakiguswa tu wanavua chupi wenyewe.

Nakukuhakikishia mkuu CHADEMA watashiriki chaguzi zijazo mkuu, hapo ndipo tutakapo kuwauliza matusi yenu kwa ACT yalikuwa na mana gani
 
Kwa vile ni wasaliti wa umma. Kwa taarifa yako ACT wanaweza kuwa ndio wabaya zaidi katika kutafuta mabadiliko kuliko CCM hivyo ni kula nao yombo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

mnachotakiwa ni kumaind your own business , Ila hamuwezi,

Na Ukweli ni kuwa CHADEMA bila ya ACT hawawezi kupambana na CCM kwenye Uchaaguzi
 
Nakukuhakikishia mkuu CHADEMA watashiriki chaguzi zijazo mkuu, hapo ndipo tutakapo kuwauliza matusi yenu kwa ACT yalikuwa na mana gani
Matusi gani hayo unayosema? Na suala la Chadema kushiriki chaguzi zijazo ni kweli itashiriki ila sijaona muunganiko wa hoja yako hapo kwa Chadema kushiriki chaguzi hizo.
 
Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.

Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.

tatizo lako hapo sasa ni nini? kwani wafuasi wa CHADEMA si wakristo? mbona ACT hawalalamiki hilo
 
Acha kulilia watu mtandaoni. Sisi sio wazazi wako.
 
CHADEMA hawana nia ya kuwa chama tawala. Wanapambana na ACT ili wasikose nafasi yao kama chama kikuu cha upinzani.
 
U

Una haki na tafsiri yako, nna haki na tafsiri yangu.

Povu peleka kwa mumeo.
Brain washed minded na utumwa wa kifikra tu. Mwafrika yeyote anayejitambua hawezi kuwa mtumwa wa hizo dini za wafiranaji na wasaganaji.
 
"""Tatizo chadema na wafuasi wake wanajishughulisha mno na mambo ya vyama vingine badala ya kuendelea kuzindua maghorofa yao ya jasho la wanachama wao!"""
Yaani wewe ndio hewa kabisa. Unapinga umbea wakati ulichokiandika ni umbea mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…