Social media tu ila mainstream sijawahi ona Hata Mbowe akiwataja.
Mbowe ni mtu anaejielewa, Ila inaonekanwa yanayofanyika yana Barka zake kwa njia moja au nyengine, mana BAVICHA ndio wanaotia aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Social media tu ila mainstream sijawahi ona Hata Mbowe akiwataja.
Zitto atambue hawezi kufanya siasa bila kujipima na wengine, ndio maana wao ACT kila siku huwa wanaimba hawataki siasa za maandamano, wao wanataka siasa za kukaa mezani kutongozwa na mtawala.
Wakitongozwa wanakataa,ila hao wazalendo wakiguswa tu wanavua chupi wenyewe.Kwani CHADEMA hua hawatongozwi?
Kwa vile ni wasaliti wa umma. Kwa taarifa yako ACT wanaweza kuwa ndio wabaya zaidi katika kutafuta mabadiliko kuliko CCM hivyo ni kula nao yomboHivi kwanini CHADEMA wapo very obsessives na ACT? wanashangaza sana kwa kweli
Wakitongozwa wanakataa,ila hao wazalendo wakiguswa tu wanavua chupi wenyewe.
Kwa vile ni wasaliti wa umma. Kwa taarifa yako ACT wanaweza kuwa ndio wabaya zaidi katika kutafuta mabadiliko kuliko CCM hivyo ni kula nao yombo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ndio ipo wazi kwamba ACT na CUF ni vyama vya kiislamu.
Matusi gani hayo unayosema? Na suala la Chadema kushiriki chaguzi zijazo ni kweli itashiriki ila sijaona muunganiko wa hoja yako hapo kwa Chadema kushiriki chaguzi hizo.Nakukuhakikishia mkuu CHADEMA watashiriki chaguzi zijazo mkuu, hapo ndipo tutakapo kuwauliza matusi yenu kwa ACT yalikuwa na mana gani
Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.
Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.
Wewe ni mfia niniTanzania hakunaga Wafia Dini
Mimi nimekombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu KristoWewe ni mfia nini
Mungu hana dini. Dini wanazo wanadamu kama njia ya kumtafuta Mungu. Mungu kaleta wokovu sio Dini zenu.Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu.
Mbona unakunywa ulanzi unamix na K Vant?Mimi nimekombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo
Ulanzi ni mvinyo bwasheeMbona unakunywa ulanzi unamix na K Vant?
Sasa ndiyo uchanganye na K Vant kweli? Wewe chapii tu.Ulanzi ni mvinyo bwashee
Usingekuwa miongo kiasi hikiMimi nimekombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo
Acha kulilia watu mtandaoni. Sisi sio wazazi wako.Wewe kilaza dini ni njia kwa wapumbavu maana njia zipo hadi potovu bali mimi nakuambia kila lilipo neno dini weka neno "haki" .......Dini maana yake ni kutenda haki na kutenda haki maana yake ni kuto kutenda dhuluma(maovu) msingi wa dini (haki) ni kujua mema na mabaya na kutenda mema ya haki....kwa kuwa neno dini lina husu Mungu na ilo neno maana yake ni haki, jibu hapo dini ni nini?
DINI NI = (HAKI YA MUNGU)
Brain washed minded na utumwa wa kifikra tu. Mwafrika yeyote anayejitambua hawezi kuwa mtumwa wa hizo dini za wafiranaji na wasaganaji.U
Una haki na tafsiri yako, nna haki na tafsiri yangu.
Povu peleka kwa mumeo.
Yaani wewe ndio hewa kabisa. Unapinga umbea wakati ulichokiandika ni umbea mtupu."""Tatizo chadema na wafuasi wake wanajishughulisha mno na mambo ya vyama vingine badala ya kuendelea kuzindua maghorofa yao ya jasho la wanachama wao!"""