GE2025 Zitto Kabwe: Bunge la Miaka Mitano iliyopita lilikuwa Buyu na Kibogoyo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Miaka mitano hii imepita ni miaka migumu sana, sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya Bunge, leo hii matukio ya utekaji yameongezeka mnaambiwa watekaji ni watu wasiojulikana, leo hii Usalama [Wa Taifa] wanaruhusiwa kukamata watu, wanaruhusiwa kubeba silaha kwasababu ya Bunge ambalo lilikuwa na chama kimoja...

Nina hakika tungekuwa hata wabunge kumi tu wenye uelewa ndani ya Bunge sheria ile ya [Usalama Kuruhusiwa Kukamata Watu] ingeondolewa Bungeni, lakini wamejaa wabunge wa ndio, wamejaa machawa, Bunge butu, Bunge kibogoyo halina uwezo wa kuiambia lolote serikali ndio maana sheria ile imepita, leo watu wanalia." Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza na wananchi mjini Songea mkoani Ruvuma Julai 07, 2025.
 
Kweli watu hampo serious badala ya kuangalia hoja yake mnaangalia kuaminika kwake, hii ndio maana anapoongea mnaemuamini huwa mnakubali hata akisema yasiyoaminika.
 
Pamoja na ndugu Nyepesi kutoaminika sana, lakini anachokisema ni kweli tupu
 
Huyu Kama mnakumbuka enzi za Magufuli alikua akiona Budget imesomwa anakimbia kujifanya anachambua!!! Sasa naelewa kwanini walimsema Magu..Walikua hawapati mwanya wa upigaji na hela nafuu hawa watu wahuni hawa..

Hii nchi hawa watu wanajiita wapinzani nadhani tuwaangalie sana huyu ni kama Mbowe tu hawajawahi kuwa wapinzani wanachuuza watu bila sababu..Hovyo kabisa..
 
Miaka mitano hii imepita ni miaka migumu sana, sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya Bunge, leo hii matukio ya utekaji yameongezeka mnaambiwa watekaji ni watu wasiojulikana, leo hii Usalama [Wa Taifa] wanaruhusiwa kukamata watu, wanaruhusiwa kubeba silaha kwasababu ya Bunge ambalo lilikuwa na chama kimoja...

Nina hakika tungekuwa hata wabunge kumi tu wenye uelewa ndani ya Bunge sheria ile ya [Usalama Kuruhusiwa Kukamata Watu] ingeondolewa Bungeni, lakini wamejaa wabunge wa ndio, wamejaa machawa, Bunge butu, Bunge kibogoyo halina uwezo wa kuiambia lolote serikali ndio maana sheria ile imepita, leo watu wanalia." Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza na wananchi mjini Songea mkoani Ruvuma Julai 07, 2025.
Zitto kabwe kakabwa na CCM niTapeli
 
Zitto alipitisha Sheria pale kwenye kikosi kazi ,walipewa bahasha Leo analialia pumbafu ,dalali mkubwa
 
Back
Top Bottom