Zitto Kabwe: Bunge lisizuie mjadala, acha Watu waongelee hoja za CAG, huo ndio mchakato wenyewe

Kama mwanasiasa Zitto yupo well informed na uwa na arguments za msingi.

Shida yake ni mtu anaeishi na kinyongo saa zingine inabidi atunge uongo or mislead people to justify his viewpoint ya mtu asiempenda, hana misimamo rasmi ni ngumu kuelewa agenda yake ya muda mrefu anataka atimize malengo gani ya siasa binafsi na chama chake, ana nunulika kirahisi na kuweza kutumika kama chawa; madhara yake as a brand anaonekana ni mtu inconsistent na sio wa kuaminika ata anapoongea hoja za msingi.

Bora hata ya Lissu either unamkubali au la; lakini unajua anasimamia nini. Hoja yoyote anayoizungumzia ata kama hujui maneno atakayo tumia, lakini una idea ya mtazamo atakao utoa kabla ya hata kumsikiliza. Mfano kwa Lissu CCM sio watu wazuri in general, ila wamezidiana viwango vya ukatili tu na kwenye kuiba.

Wengine wenye consistent kwa siasa za Tanzania ni Chalamila (kwenye kuwapa watu ukweli wasiopenda kusikia), Makamba (with over ambitions plans za maendeleo without proper strategies to attain those goals) na Bashe (kama Makamba with grandiose ideas but limited knowledge).

Wanasiasa wengine wapo wapo tu wanaenda na upepo kama huyu Zitto ata anapoongea vitu vya msingi jamii inaanza kumu ignore kwa sababu yeye mwenyewe anaharibu brand yake kwa kutokuwa consistent kwenye misimamo ya siasa na kupenda majungu; ni mtu hovyo kweli.
 
Au anatumika !!?? You never know !!
 
Kitu kizuri ni kwamba Rais Smaia Suluhu anaendelea kulishughulia hili suala la viongozi wabadhilifu kwahiyo hawa wabunge hawastui nchi iko mikono salama Watanzania tuna amani sana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu
 
Waliobomoa upinzani ni mamluki wa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…