GE2025 Zitto Kabwe: CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo

GE2025 Zitto Kabwe: CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru

Hii maana yake CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo Amesema Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe


 
CCM wameonya wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru

Hii maana yake CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo Amesema Zitto Kabwe kiongozi mkuu wa zamani ACT Wazalendo
achana na zito mnafiki anang'ata na kupuliza
 
CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru

Hii maana yake CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo Amesema Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe


anayemsikiza huyu msalilti hamnazo kama yeye!

Huyu saizi yake ni Baba Levo kule Kigoma Mjini agaragazwe kwanza
 
Mnafiki daraja la kwanza. Siku wananchi wananchi wakimgundua Zitto ni tapeli wa kisiasa watajulaumu Sana kumsikiliza.
 
Aondoke huko Sisi CCM tunajali Raia ndio Maana Kuna amani Mpaka leo
 
Back
Top Bottom