Zitto Kabwe: CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia

Zitto Kabwe: CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,



Updates

Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

CCM wameona wanyamapori wanamaana zaidi kuliko nyinyi Raia, hivi sasa ukiwapanga madaraja raia wa Tanzania nyinyi watu wa Tunduru ni daraja la nne. Ambapo daraja la kwanza ni wawekezaji wa nje, daraja la pili wawekezaji wa ndani, daraja la tatu ni tembo na daraja la nne ni nyinyi watu wa Tunduru

Hii maana yake CCM inathamini zaidi tembo kuliko Raia, sasa waacheni wapigiwe kura na tembo: Zitto Kabwe


Hapa kuna machimbo, ila watu wake maskini. Kulikuwa na katazo la kuzuia madini ya hapa kuagizwa nje. Katazo hilo limesitishwa! CCM imeamua kuwafanya watu wa Namtumbo kuwa masikini." Naibu Katibu Mkuu Bara Ester Akoth Thomas
 
Michadema ikisia habari kama hiyo mioyo yao hua inauma sama.
 
Bila kumtaja mumeo hausikii raha.
1000073785.jpg

Mzungumze na nani? Tukutane 2030 itakua mmeshajifunza.
 
Back
Top Bottom