Zitto Kabwe: Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar tulilompelekea Rais Mwinyi limetokana na wosia wa Maalim Seif

Zitto Kabwe: Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar tulilompelekea Rais Mwinyi limetokana na wosia wa Maalim Seif

Nasikia meko hamtaki Othman mwanasheria wa zamani kuwa Makamu wa kwanza wa rais.
 
Na hivi maalim hayupo lolote laweza zungumzwa
Waongo wengi hiyo ndio Lugha yao!!!! Kama ni kweli Seif alivunja katiba ya ACT wazalendo inayotaka uteuzi ufanywe na vikao vya chama sio mtu kujiandikia wosia!!

Kama kweli katiba ya ACT wazalendo imevunjwa
 
Wosia!
Kwahiyo Maalim aligawa ofisi kama urithi?
 
CCM wanamwogopa Othman wanasema bora Lisu kuliko huyu. Kwa sababu Lisu anajua sheria hajui historia ila huyu anajua vyote.
Watu wafupi wana akili sana. Sema huwa tunawadharau bure tu.

Kengine ni kaTumbili unakakumbuka? Kapo benchi kwa muda.
 
Back
Top Bottom