Zitto Kabwe kaingia kwenye ndoa?

Aoe sasa maana ufitina wake Umefikia mwisho Aoe atengenez familia yenye msimamo....aache kutumiwa na chama tawala mana sasa ataogopa kuiacha familia....lab atakuw mzalendo halisia!!
Mhh ila nimecheka sana hii post yako.Acha hizo bhana.
 
Sema pia Jac possibily ni open mno na ni mtu wa watu, na ni rahisi kwa mwanasiasa mnafiki kama zitto kuhisi anatoka na wanaume wengine
nadhani kuna makubaliano ya msingi sbb Jack anaendesha ile gari ya zitto na ni mdada mqwnyw shule na maisha yake na hupenda sana matizi kupotezea misongo
 
Acha unafiki.Hayo ni maisha binafsi

Thread hii inahusu suala la Zitto kuoa ni suala binafsi wewe ulitaka Tujadili masuala yapi? Sumu au usaliti wa Zitto kwa chadema?
Wewe ndio Mnafiki kufungua thread ya masuala binafsi na kutaka tusijadili ishu binafsi au kweli Zitto kuingia kwny ndoa ni muendelezo wa Mapambano yako ya "Kizalendo" kwake?
 
nimeona manywaji hapo mezani....................
 
kwa sababu
Kwani cha ajabu nini,anafanya kipi kipya au ndio wakioa wengine ni habari ila akioa Zitto ni habari ya Kusisimua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????
na yeye ni mtu wa kusisimua besides he has taken so long hanging around
 
Naona mapicha picha mitandaoni zito akimvisha mrembo pete mwenye newz zaidi atupe updates


Kwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!
 
Kwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!

Masikin kama kina Moses Iyobo na aunt ezekiel unamaanisha.Naskia na kitoto chao nigga kweli kama fidelin.
 
Dah watu kwa kujipendelea vitu vizuri, Mheshimiwa kabwe umejivutia mtoto mlainiii kama mkate, pamoja na kutafuta kwa muda mrefu mpaka uzee unakuita mheshimiwa ila hujakosea kuchagua... Big up sana usiniache kwenye kamati ya harusi
We ni mtt wa uswaz tu
Naona mapicha picha mitandaoni zito akimvisha mrembo pete mwenye newz zaidi atupe updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…