Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Jac amesmguka sana na ZZK so hii itamuuma san..dada yetu wa chuo Jac.... naona katemwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jac amesmguka sana na ZZK so hii itamuuma san..dada yetu wa chuo Jac.... naona katemwa.
Sema pia Jac possibily ni open mno na ni mtu wa watu, na ni rahisi kwa mwanasiasa mnafiki kama zitto kuhisi anatoka na wanaume wengineJac amesmguka sana na ZZK so hii itamuuma san
Mhh ila nimecheka sana hii post yako.Acha hizo bhana.Aoe sasa maana ufitina wake Umefikia mwisho Aoe atengenez familia yenye msimamo....aache kutumiwa na chama tawala mana sasa ataogopa kuiacha familia....lab atakuw mzalendo halisia!!
nadhani kuna makubaliano ya msingi sbb Jack anaendesha ile gari ya zitto na ni mdada mqwnyw shule na maisha yake na hupenda sana matizi kupotezea misongoSema pia Jac possibily ni open mno na ni mtu wa watu, na ni rahisi kwa mwanasiasa mnafiki kama zitto kuhisi anatoka na wanaume wengine
Acha unafiki.Hayo ni maisha binafsiUshauri huo ni kwa Zitto au ni pamoja na Mnyika,Sugu, bila ya kumsahau Rais mstaafu wa Mioyo yenu alietawala vifua vyenu 2010-2015 aliepo uhamishoni Canada n.k?
Ha ha ha achaga kuzingua sasa MkuuNo mi ni ME siyo KE mkuu Ata hivyo mbona mi mwana Dar.
Acha unafiki.Hayo ni maisha binafsi
na yeye ni mtu wa kusisimua besides he has taken so long hanging aroundKwani cha ajabu nini,anafanya kipi kipya au ndio wakioa wengine ni habari ila akioa Zitto ni habari ya Kusisimua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????
Anafanana na mke wa nyalandu ndoa kati warembo vs. waheshimiwa zinaongezeka....Dada yetu wa chuo ndio basi tena.......ila kitu cha ukweli nadhani singida au arabic hii
Ha ha ha achaga kuzingua sasa Mkuu
Hahahaha......kwahiyo huyo wa Canada ndio yuko semister ya kwanza,kweli elimu haina mwisho[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mcanada pori yeye ni 'MTAWA' mwache apige kitabu, yuko semista ya kwanza
jina langu.Kuuliza si ujinga, hivi ilo neno swissme lina maana gani?
Naona mapicha picha mitandaoni zito akimvisha mrembo pete mwenye newz zaidi atupe updates
![]()
![]()
Kwa nini Waislamu wote akipata pesa basi ni lazima ataoa Mwarabu au Mwanamke aliye na Uarabu? Nina uhakika Zito kabwe angekuwa hana fedha angeoa Mwanamke wetu wa Kitanzania mweusi kama mimi 100%!
Naona amejaza Vitwanga vingi tu hapo mezani
We ni mtt wa uswaz tuDah watu kwa kujipendelea vitu vizuri, Mheshimiwa kabwe umejivutia mtoto mlainiii kama mkate, pamoja na kutafuta kwa muda mrefu mpaka uzee unakuita mheshimiwa ila hujakosea kuchagua... Big up sana usiniache kwenye kamati ya harusi
Naona mapicha picha mitandaoni zito akimvisha mrembo pete mwenye newz zaidi atupe updates
![]()
![]()