Zitto Kabwe kaingia kwenye ndoa?

Diva the loveness love ndio basi tena, pamoja na kutupia mawasiliano yao ya email na zzk kaachwa solemba..
 
Ila sijui kuna siri gani kwenye hili hapa kwamba kila mwanasiasa alieoa mwanamke mrembo saana hakufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye siasa ila Wanasiasa wengi walioa wanawake wa kawaida walifanikiwa saana kwenye siasa. Hii Inahusu pande mbili hizi, The beautifuly ones and the wife materials..mmoja hana cha kupoteza beautifuly huyu hata akiachwa ataolewa na mwingine maana silaha yake ni uzuri wake ila yule mke mwenye muonekano kawaida sometimes sura mbaaya kabisa alierithi sura ya marehemu babu yake ana cha kupoteza hivyo silaha yake kubwa ni tabia njema, uvumilivu, upendo, utiifu. Kwa kariba na mission ya Mh Zitto katika nchi hii i mean kwa mwaka 2020/2025 alipaswa kuoa mwanamke wa kawaida au mrembo kama huyu ila wa kipekee anaeposses sifa za yule mwanamke mwenye sura ya babu yake ambae atakuwa assets na sio liability ili kijana akae kwenye stress free zone kwa ajili ya kujibrand kwa battle 2020/2025. Kwa maisha ya sasa vijana wengi miaka hii wanadate na masistaduu wakali but wanaoa wanawake wa kawaida wasio na uzuri wa kutisha ila ni wife material.

Ila huwa naamini Zitto mara zote huwa anatumia akili kubwa saana kupambanua mambo yake kwa maantiki hiyo atakuwa kapick mtu sahihi ingawaje pia naamini sio kazi nyepesi kuchagua mtu ambae utashare nae the rest of your life iliyogubikwa na career ngumu ya siasa ambayo kimsingi kwa miaka ya mbele itabeba dhima na taswira ya taifa baada ya jamaa kuukwaa uprezida..yeahh!! Uprezdaa. Ya mungu mengi kwa ushawishi alionao..haitakuwa muujiza kwangu kukanyaga magogoni. Hivyo mke wake sio jukumu la kifamilia tu bali Taifa kwa ujumla ndio maana nawish jamaa awe amechagua mke kwa kutumia akili yake na sio following his heart maana his heart is not that wise.

Anyways, sijaongea kama mwanaume wa Dar bali nimeongea kama Mtanzania ninaefurahi na nisiependa kuzikosa huduma murua saana za braza Zitto kwa sababu ya kijinga.
 
Demu ana uhakika wa maisha, hata 60% anaamini one day atakiwa first lady tz
 
Zito kabwe kachoka scandal na kula magengeni.... Hongera mkuu!
Ila namwonea huruma sana diva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…