sbikore
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 535
- 191
Hiv ww unatafuta udada wa ndan kwa zito au umekolea?Ndio uzuri wa kuwa na hela . At40 anavuta kifaa cha ukweli. Kuwa na njaa zako uone mziki wa warembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv ww unatafuta udada wa ndan kwa zito au umekolea?Ndio uzuri wa kuwa na hela . At40 anavuta kifaa cha ukweli. Kuwa na njaa zako uone mziki wa warembo.
pesa sabuni ya penzi nduguAnafanana na mke wa nyalandu ndoa kati warembo vs. waheshimiwa zinaongezeka....
wameitoa ile yenye twangaDuuu naona kitwanga za kutosha sijui ni macho yangu tu au?
Middle, ila namuita kijana sababu naona anaelekea kwenye ubabaHivi 40 ni Kijana au? Plz msaada
Diva the loveness love ndio basi tena, pamoja na kutupia mawasiliano yao ya email na zzk kaachwa solemba..
Hats mm nimehis nikiangalia hizo sura ni kama za Singida vileDada yetu wa chuo ndio basi tena.......ila kitu cha ukweli nadhani singida au arabic hii
Kwa nyuma kama vile namuona mke wa marehemu Filikunjombe??!!Hats mm nimehis nikiangalia hizo sura ni kama za Singida vile