Zitto Kabwe katika ubora wake wa unafiki

Zitto Kabwe katika ubora wake wa unafiki

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe

Zitto Kabwe:
Kauli ya kwanza
"Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa."

***
Kauli ya pili
"Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi? Maoni ya mchumi ni kwamba wala hatukopi, kwasababu ukiangalia viashiria vya deni, hasa deni la nje bado tuko chini sana, takriban 30% tu ya pato la taifa."
 
Uenda yupo kwenye orodha ya walamba asali , njaa ya madaraka isikie Tu unaweza ona watu wote hawana wanachojua kwa unachoongelea wewe. Amechagua kuishi hivyo TUVUMILIANE VIONGOZI.
 
Naona ndio maana ameuliza unataka unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi.

Akiwa na maana kwamba, mwanasiasa ataongea hata uongo ili apate mass suuongo, wakati mchumi ataongea kulingana na vitabu, bila kujali kina nani watakuwa upande wake.
 
Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe

View attachment 2470332

Zitto Kabwe:
Kauli ya kwanza
"Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa."

***
Kauli ya pili
"Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi? Maoni ya mchumi ni kwamba wala hatukopi, kwasababu ukiangalia viashiria vya deni, hasa deni la nje bado tuko chini sana, takriban 30% tu ya pato la taifa."
Huyu kijana angezaliwa kabla ya uhuru afu akawa ndio miongoni mwa wapigania uhuru walahi hadi sasa tungekuwa chini ya mkoloni.

Zitto sio wa kumuamini hata nukta.
 
Huyu amekuwa akiishi kiunafiki na kiundumilakuwili ktk maisha yake!
kaburi ndio tu litamwachanisha na hii tabia!
 
Zitto amepata nafasi nyingi sana za kisaisa, lakini hakuna nafasi ameitendea na anaendelea kuitendea haki kama nafasi ya UNAFIKI.

Pengine ni mnafiki bora hapa nchini.
 
Back
Top Bottom