The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Huyu kilaza ndivyo alivyo. Ukiona hivyo karambishwa asali na mama. Ni tapeli wa kawaida wa kisiasa kama siyo kahaaaba wa kisiasa. Njarambaya hawa kigoma huitwaHapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe
View attachment 2470332
Hivi kwa ile sura yake ilivyo kwa sasa,unadhani huo ugonjwa hana kweli?Huyu atakuwa na sexual transmitted diseases kichwani si bure
ZZK si mtu mkweli na kukugeuka ni suala la kujipa muda tu.
Nimependa jinsi alivyo anza hapa.Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi?
Haukosekani maana sura iko kama lapulapuHivi kwa ile sura yake ilivyo kwa sasa,unadhani huo ugonjwa hana kweli?
Gono au ππHuyu atakuwa na sexual transmitted diseases kichwani si bure
MchanganyikoGono au ππ
Huyu kijana angezaliwa kabla ya uhuru afu akawa ndio miongoni mwa wapigania uhuru walahi hadi sasa tungekuwa chini ya mkoloni.Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe
View attachment 2470332
Zitto Kabwe:
Kauli ya kwanza
"Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa."
***
Kauli ya pili
"Unataka maoni ya mwanasiasa au mchumi? Maoni ya mchumi ni kwamba wala hatukopi, kwasababu ukiangalia viashiria vya deni, hasa deni la nje bado tuko chini sana, takriban 30% tu ya pato la taifa."
Bei yake inajulikana, kaka huyu hana madhara jamani mwacheni...Huyu kilaza ndivyo alivyo. Ukiona hivyo karambishwa asali na mama. Ni tapeli wa kawaida wa kisiasa kama siyo kahaaaba wa kisiasa. Njarambaya hawa kigoma huitwa
Yale masundosundo usoni mwake unadhani ni yakawaida!!??Huyu atakuwa na sexual transmitted diseases kichwani si bure