mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Wanapata faida gani?Yaani kuna jambo hamulifahamu - it was a coordinational work kama siafu vile - ukiona kaachiwa juwa kwamba mission is complete - faida ni kwa waliomkamata si kwa act - bado mmekwama mahali kwingi sana
Kwani kaiingilia mahakama kiaje?Sasa si aache Mahakama ifanye Kazi Mbona anaiingilia Inglia kidomodomo cha nini
mzee wa kazi na bata dawa yake anameza mdogomdogo πππ"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe
Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa Facebook wa ACT-Wazalendo.
Free Mazurui #freeall political prisoners
#kazi na bata
Wameshaachiwa!"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe
Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa Facebook wa ACT-Wazalendo.
Free Mazurui #freeall political prisoners
#kazi na bata
Amemwachia mkuu
Kamuulize mwenyewe akusimulie.Wanapata faida gani?
Mpango wao huo....!!Dikteta ameona aheri amwachie kuliko ionekane ameamrishwa kumwachia.
Sent using Jamii Forums mobile app