Zitto Kabwe: Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao Makuu ya DRC Mashariki wakati wa Mjerumani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire

Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita

Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire

Sabato Njema
 
Huo ni uwongo mweupe
 
Hapo zitto anataka kumaanisha nn labda, sijaipata vzur point yake
 
Anataka watu wajadili uraia wake?

Keshapotea kwenye medani, aendelee kutumia alizoiba na mshikaji wake swala 5 balozi!
 
Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire

Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita

Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire

Sabato Njema
Hapa ninekubali ujiji hakuna maendeleo sababu ya uchawi yaani waliroga hadi mji mkuu wa kongo ukahamia Kinshasa kwa jinsi wasivyopenda maendeleo
 
Back
Top Bottom