Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Wanaanzaga hivi hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kihistoria na kijiografia siyo kweli kuwa Kigoma inaweza kuwa sehemu ya Congo/ZaireAkiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire
Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita
Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire
Sabato Njem
Ni sehemu ya Burundi?Kihistoria na kijiografia siyo kweli kuwa Kigoma inaweza kuwa sehemu ya Congo/Zaire
Kwa hayo maeneo yote tuyatoee tuyarudishe au siyoKigoma yote ni mali ya Congo, Kusini huku ni Msumbiji, Bukoba yote mali ya Uganda, Ngara yote mali ya Burundi na Rwanda, Mbeya huko ni mali ya malawi Tunduma.mali ya Zambia.
Watanganyika halisi ni Wagogo tu - ha ha ha Tuwaheshimu saana.
Zitto ni muongo snAkiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire
Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita
Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire
Sabato Njema
Uongo mtupu hiyo inaitwa Doma.Goma ya Tanganyika iko Morogoro kabla hujaingia mbuga ya Mikumi
Mama yake dayamondi alishasema babake dayamondi ni mkata uno sbene na domboroMwanzo warundi sasa wamekuwa wakongomani
Ila hapo anawasagia kunguni wasanii wetu kuwa wanaotoka hapo KG ni wakongomani kisa wanakata viuno
WakongomaniMama yake dayamondi alishasema babake dayamondi ni mkata uno sbene na domboro