Zitto Kabwe: Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao Makuu ya DRC Mashariki wakati wa Mjerumani!

Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire

Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita

Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire

Sabato Njem
Kihistoria na kijiografia siyo kweli kuwa Kigoma inaweza kuwa sehemu ya Congo/Zaire
 
Mwami ni mtumwa Bado kifikra.

Mbona hasemi kabla ya kuja mkoloni Nchi zote Afrika mashariki zilikuwa Nchi Moja iitwayo Tanganyika?
 
lkn Ujerumani ilikuwa ni Dola ya Kikristu na ndiyo iliyoleta Baraka za Ukristu na Chistianization of “tanzania” , kabla ya hapo backwardness na uislamu pmj na utumwa ndiyo vilitamalaki, cha ajabu zito kabwe ni muslim, halafu yuko proud na Christian Tanzania na Kongo mashariki, lkn haongelei life before Ukristu huko kigoma ambako uislamu ulijaa …
 
Kigoma yote ni mali ya Congo, Kusini huku ni Msumbiji, Bukoba yote mali ya Uganda, Ngara yote mali ya Burundi na Rwanda, Mbeya huko ni mali ya malawi Tunduma.mali ya Zambia.

Watanganyika halisi ni Wagogo tu - ha ha ha Tuwaheshimu saana.
 
Kwa hayo maeneo yote tuyatoee tuyarudishe au siyo

Ova
 
Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire

Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita

Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire

Sabato Njema
Zitto ni muongo sn
 
Back
Top Bottom