johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Goma ya Tanganyika iko Morogoro kabla hujaingia mbuga ya MikumiNdiyo maana DR Congo wana Goma na
Tanganyika tuna Kigoma
Huo ni uwongo mweupeAkiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire
Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita
Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire
Sabato Njema
Lete ukweli wakoHuo ni uwongo mweupe
Ile inaitwa Doma MkuuGoma ya Tanganyika iko Morogoro kabla hujaingia mbuga ya Mikumi
πππIle inaitwa Doma Mkuu
Mchape na kofi kabisaIle inaitwa Doma Mkuu
πππMchape na kofi kabisa
It's meant that foka ilikuwa mji mkubwa alafu kigoma kalikuwa kamji kadogo wakapaita kigoma sio?Ndiyo maana DR Congo wana Goma na
Tanganyika tuna Kigoma
Acha uongo mkuu ile ni Doma na sio GomaGoma ya Tanganyika iko Morogoro kabla hujaingia mbuga ya Mikumi
HahahaMchape na kofi kabisa
Rejea comment #3 uelewe . Hiyo comment imemaliza kila kitu.Hapo zitto anataka kumaanisha nn labda, sijaipata vzur point yake
πππAcha uongo mkuu ile ni Doma na sio Goma
Hapa ninekubali ujiji hakuna maendeleo sababu ya uchawi yaani waliroga hadi mji mkuu wa kongo ukahamia Kinshasa kwa jinsi wasivyopenda maendeleoAkiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire
Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma inakopiganwa Vita
Ndio sababu Wananguaji wote wa Muziki hapa Tanzania wanatoka Kigoma zamani Zaire
Sabato Njema