johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Eti huyo ndiye Kiongozi mkuu wa chama cha upinzani hapa Tanganyika. Badala ya kuichallenge serikali kwa hoja zenye mashiko kanajipendekeza kwa serikali ya Hangaya. TZ hatuna upinzani bali wachumia tumbo tu. CCM na iendelee tu mpaka tutakapopata wapinzani wa kweli.Huyu jamaa badala ya kushauri mipango mkakati hali kama hii isijirudie.
Yy anaongea kwa maana ya kutetea!?
Mataahira wataisha lini nchi hii? Kwahiyo kipindi hicho sisi tulikuwa wapi hadi tusiuone huo mgao?!Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.
Ameandika Zitto Kabwe.
Sasa umeandika nini?Ni KASENGE tu hako ka Jepesi.
Maandishi. Au hujui kusoma?Sasa umeandika nini?
Chama chenyewe kabadilishana na mke huko Pemba.Eti ndio mtu mwenye ndoto na anategemea kuja kumiliki ofisi ya rais siku 1 huyo..
Labda Rais wa TARURA au TAMISEMI asee..
Tumia bushara hata kidogo........JF..... for great thinker..Maandishi. Au hujui kusoma?
Anatafuta fursa kama NSSF!Mgao siyo jambo la kutangaziwa. Unaonekana waziwazi. Zitto amekuwa shabiki maandazi.
Si ndio hapo ndugu yangu ninapo shangaa hivi hawa jamaa wanatuona sisi wajinga kiasi gani yaani mgao wa umeme uwe kama hivi ilivyo sasa bado inahitaji mtu utangaziwe ndo ili ujue kuna mgao wa umeme na maji kweli!!?Umeme ukatike watu wasijue?
Wewe kama hujaelewa nilichoandika pita kimya tusichoshane hapa. Ungekuwa great thinker ungeelewa nilichoandika. Usijivue nguo hadharani.Tumia bushara hata kidogo........JF..... for great thinker..
Mbona huyu huwa pro goverment sana?Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.
Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.
Ameandika Zitto Kabwe.