Zitto Kabwe: Kila Novemba kunakuwa na mgao wa Umeme ila tulikuwa hatutangaziwi kwa sababu za kibabe tu

Zitto Kabwe: Kila Novemba kunakuwa na mgao wa Umeme ila tulikuwa hatutangaziwi kwa sababu za kibabe tu

Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema ni hali ya kawaida mwezi November kuwa na mgao wa umeme ila tu awamu iliyopita tulikuwa hatutangaziwi lakini mgao ulikuwepo.

Zitto anasema isingekuwa rahisi kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme awamu iliyopita kwa sababu ya kuogopa ubabe.

Ameandika Zitto Kabwe.
Dah....huu sasa Ni upuuzi uliopitiliza....hivi mgao wa umeme na maji lazima mtangaziwe?
 
Back
Top Bottom