ACT mtu imara atoke wapi?Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Hakika umenenaWewe unacheza na teuzi!!? Ccm waliokianzisha malengo yao yalishatimia hata kikifa kazi kilishamaliza.
Kwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa.
Ni mawazo wa kijinga kbs ni afadhali chama kife Kwa kuheshimu wanachama wake, hivi kweli kiongozi uongoze miaka kumi au zaidi kusipatikane mwingine Mambo ya ajabu kbsKwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?
Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.
Mfano Chadema siyo Mbowe.
Akili za Chadema ,Miungu Watu🤧🤧Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Haiwezi Kufa Wana Shaibu na Nondo Kwa Bara,Kwa Zanzibar ndio chama hasara.Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Na Tanzania sio ccmKwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?
Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.
Mfano Chadema siyo Mbowe.
Mkuu fazili , it's not necessarily right. Si wengi wanafahamu kuwa baada ya Mwalimu Nyerere kutupatia uhuru, na yeye kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania huru, alihudumu kwa mwezi mmoja tuu na kujiuzulu kwenda kuimarisha chama cha TANU hivyo Zitto Kabwe kuondoka kunampa nafasi nzuri zaidi ya kuimarisha ACT Wazalendo from outside the box!. Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi KuwapuuzaVyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Chadema kwasasa huwezi ilinganisha na ACTKwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?
Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.
Mfano Chadema siyo Mbowe.
Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono.
Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie kuyumba kwa chama na hatimaye kupoteza mwelekeo na kufa. Katiba imemtaka aondoke ni vizuri amefanya hivyo ila chama kitapyaya isipokuwa tu atapatikana mtu imara zaidi.
Mbowe anahitajika CDM leo zaidi kuliko jana.Kwann ACT ife baada ya Zitto kuondoka kwenye uongozi? Akifa je?
Hii dhana ndiyo inawafanya viongozi wengi Afrika kubakia madarakani muda mrefu. Chama ni taasisi siyo mtu.
Mfano Chadema siyo Mbowe.