Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,067
- 2,229
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kesho Mei 04, 2025 atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kumteua kuwa Mgombea wa Jimbo la Kigoma Mjini ambapo akishachukua fomu ataongea pia na Wananchi wa Kata ya Bangwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Zitto ambaye amewahi kuwa Mbunge kwa miaka 15 amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ambapo amesema: “Leo mchana nimekutana na Wazee wa Mji wa Kigoma kuomba baraka zao kabla ya kuchukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, kesho Mungu akipenda nitachukua fomu na kuzungumza na wananchi katika Kata ya Bangwe