Anagombea wapi sasa, Kigoma Mjini au Kigoma Kaskazini!? Kichwa cha uzi kinapingana na maelezo!!!Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kesho Mei 04, 2025 atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kumteua kuwa Mgombea wa Jimbo la Kigoma Mjini ambapo akishachukua fomu ataongea pia na Wananchi wa Kata ya Bangwe.
Zitto ambaye amewahi kuwa Mbunge kwa miaka 15 amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ambapo amesema: “Leo mchana nimekutana na Wazee wa Mji wa Kigoma kuomba baraka zao kabla ya kuchukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini, kesho Mungu akipenda nitachukua fomu na kuzungumza na wananchi katika Kata ya Bangwe
Je kura zilizoibwa na Kirumbe Ng'enda 2025 atazirudishaje wakati mfumo ni ule ule, au wameahidiwa nusu mkate? mbona hawakupewa serikali za mitaa?Mi nikafikiri anagombea uraisi. 😁
Siasa hizi jamen, 2011 nimewahi shuhudia vijana wa chadema, wakisukuma gari ya huyu jamaa umbali mrefu tuu likiwa silencer, wamemsubiri nje ya mji kumpokea kwa muda mrefu.
Amefika nje ya mji, vijana wakamwambia suka zima gari, wakaisukuma mpaka town, huku wanaimba, pipoz... pipoz. kupiga kelele na vifijo njia nzima. Watu nyomi sio la kitoto uwanjani, Sumbawanga pale.
Kuna vitu zito akivikumbuka personally, wenda huwa anaumia sana moyoni.
Gone are the days.
Siasa za Africa na hasa kusini mwa jangwa la Sahara ni pasua kichwa. Ok. Kila raheri Mwami Luyagwa.Anagombea wapi sasa, Kigoma Mjini au Kigoma Kaskazini!? Kichwa cha uzi kinapingana na maelezo!!!