johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Kitambulishoni!UWT mwenzio Lucas yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambulishoni!UWT mwenzio Lucas yuko wapi?
UWT mnatatizo kubwa snHuu mnaopokelea Ruzuku
Ndiyo wapi?Kitambulishoni!
2020 Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe walipigiana kampeni Kigoma na Wote wakagaragazwa 😂😂😂😂
Labda uRais wa Congo Kinshasa 🇨🇩.KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa
Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge anawaachia Vijana kutoka Ngome ya ACT Wazalendo
Source: Mwananchi
My take; Lisu sasa arudi NCCR tu
Kwani Ruzuku ya Chadema na ACT zinatokana na Uchaguzi mkuu wa Mwaka gani?Kwani 2020 kullkuwa na UCHAGUZI ....!!?
Hawa wanamuiga mama Yao CCMHivi vyama vinafuata katiba ya wapi kupata mgombea wa urais? Wanakanyaga mno katiba zao.
Kuhesabu kwamba mwaka 2020 palifanyika uchaguzi wewe utakuwa kichaa.2020 Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe walipigiana kampeni Kigoma na Wote wakagaragazwa 😂😂😂😂
Vichaa ni wale wanaopokea Ruzuku inayotokana na Uchaguzi wanaouita ni haramu 😂Kuhesabu kwamba mwaka 2020 palifanyika uchaguzi wewe utakuwa kichaa.
Kwani Ruzuku ya Chadema na ACT zinatokana na Uchaguzi mkuu wa Mwaka gani?
Bora agombee ili tupunguze kelele za kinafiki. Maana tangu yupo CHADEMA anataka Urais.KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa
Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge anawaachia Vijana kutoka Ngome ya ACT Wazalendo
Source: Mwananchi
My take; Lisu sasa arudi NCCR tu
Alikuambia?. Unajua vitu kuliko hata muhusika mwwnyeweLisu alitamani kwenda ACT wazalendo Ili agombee 😄😄😄
Unabishana na Makamu Mwenyekiti wa CCM?. Kuwa uchaguzi haukuwa huru?2020 Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe walipigiana kampeni Kigoma na Wote wakagaragazwa 😂😂😂😂
Tatizo unataka unayowaza wewe yawe kweli. Labda ungesema uenyekiti wa CHADEMA, urais bado Sana.CHADEMA nayo ina tofauti gani na ACT kwenye mchakato wa kumpata mgombea urais kama sasa hivi Mbowe na Lissu wanataka kushikana mashati?
Ujinga ni kutetea upumbavu kisa unakunufaisha. Ruzuku ni haki ya chama kilichoshiriki uchaguzi hata Kama kiliibiwa na kiporwa kura.Kwani Ruzuku ya Chadema na ACT zinatokana na Uchaguzi mkuu wa Mwaka gani?
Kampeni za ustaarabu!KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa
Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge anawaachia Vijana kutoka Ngome ya ACT Wazalendo
Source: Mwananchi
My take; Lisu sasa arudi NCCR tu
Sasa ukitaka kujuwa huyo jamaa ni tatizo wakati akiwa Chadema kikatiba umri wake haukumruhusu kugombea Urais, lakini bichwa kubwa ilimradi tu alete tafrani.Bora agombee ili tupunguze kelele za kinafiki. Maana tangu yupo CHADEMA anataka Urais.