Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe kuunguruma Kigoma leo kwenye Mkutano wa Kampeni

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe kuunguruma Kigoma leo kwenye Mkutano wa Kampeni

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika Kata ya Bangwe leo Oktoba 16, 2020.

Zitto ambaye pia ni Kiongozi wa Chama anatarajia kuwaeleza wananchi hatima ya kura za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Fuatilia mkutano huo utakaokwenda mubashara kupitia Ukurasa wa face book wa kiongozi huyo.

Muda: Saa 9 alasiri
Imetolewa na:
Idara ya Uenezi, Habari na Mahusiano kwa Umma.
Leo Oktoba 16,2020
 
Karibu tena Zitto, tulikumisi majukwaani. Ingependeza ACT ikatangaza rasmi sasa kwamba kura zao za urais zote ziende kwa Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom