Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

Kuna mahali niliona watu wanashauri serikali iachane na miradi iliyofanywa na serikali ya Magufuli.
Ujinga ulioje?
 
Umefanya jambo jema Zitto, hujawa mnafiki wala kumkandia marehemu, umempa sifa zake nzuri na kumkosoa pale alipozingua. Maturity ya hali ya juu

Tundu Lissu ndio my favorite politician lakini ana mapungufu ya kuwa too radical...I hope atabadilika
Kwa yote aliyofanyiwa Lissu hata ungekuwa wewe usingekuwa na furaha.
Tena naona hata hivyo anajitahidi sana kuvumilia kutoonyesha hisia zake.!
Mungu ambariki sana Lissu
 
Asante sana my role model Mwami Zitto Zuberi Kabwe, kudos kwa andiko mujarabu. Natamani kusoma Kitabu chako, please unahitaji kuandika kitabu maana suala hili ni adimu kwa viongozi wengi wa kiafrika.

Pumzika kwa amani Hon. JPM
 
Nani alikwambia unayempenda wewe lazima Zitto ampende?? Wewe andika mazuri yake. Uzilazimishe unachokiamini wewe na yeye akiamini.
 
Zitto bana! Kwa Mkwere ulikaa kimya, kwa Magu asee mzee wa kutupa mawe. Ngoja tuone kwa mwenzio Samia....stay tuned!
 
Kwamba kwa sababu mapungufu yake sio mapya chini ya jua basi hayatikiwi kuelezwa/kukosolewa?

Wewe Jamaa unafikiri kitoto sana.
NIAMINI.
 
Umesoma hii makala yote kwa umakini ukaielewa kweli?

Aelewe wapi? Hawa ni wapiga makofi muda wote hawawezi kuelewa, mjue uongozi unapokua informed juu ya Raia wake vivo hivyo na Raia hua wanakua informed na uongozi hivo kubadilishana taarifa za upande huu kwenda upande mwingine hutokea kwa pande zote, hata zitto akifa tutaandika mabaya yake ambayo tunayo pia kama magufuli alivokua sio mkamilifu
 
Tanzia - tangazo la kifo kinapotokea na taratibu za mazishi.
Taabin - kumbukumbu za mambo ya marehemu katika maisha yake (eulogy) positivity only.
Tafakuri: reflection (tathmini) ya kitu/mtu ndio ulichoandika.

Nadhani unaweza kuona kwanini marehemu alihimiza kiswahili kipewe kipaumbele, ata viongozi wetu kukielewa shida.
 
Ni wachache sana humu JF of Sub thinkers wanaoweza kujua tofauti ya Kwaheri na Kwa Heri, lakini yote ni kheri.
 
MAGUFULI AMEACHA ALAMA KWA WATANZANIA.
Nyie mnalilia njaa tu, vigeugeu sana. Mmewachanganya watanzania kwa kukosa ushirikiano baina yenu wapinzani, mnajenga nyumba moja ila mnagombania fito!
Kama umesoma andiko hili na Bado hujaelewa basi wewe ni more than kilaza
 
Umeandika vema. Tnataka walipotoea tupate habari zao, hata kama wamekufa, tuone makaburi yao tuwazike. Wapendwa wetu tuwazike.
 
Mimi kuna vitu nimeona ni vipya kwangu, na haa naomba ufafanuzi wa vitu hivyo.

Ni ipi tofauti kati ya nchi na taifa ? Kadhalika Tanzia ili iwe Tanzia inahitaji kukusanya nini na nini ?
Nchi Ni hardware na Taifa ni software. Kama hujaelewa hapo,utaelewa akhera
 
I thought wewe Zitto ni CCM B. Ola kwa hili bandiko aaah hongera aisee.
Umeweka unafiki pembeni. Safi Sana.
 
Zitto rudi ujibu Comments kwenye uzi wako. Nianze kukushukuru kwa kumsamehe (kwa mujibu wa andiko lako).

Hayati Aliyekuwa Rais Dr JPM alijitahidi kwa kadri alivyoweza kuifikisha, Tanzania kwenye 'ideal' nation ambalo linaheshimika duniani na Lina Maendeleo. Safari ni ndefu lakini alituonesha Uelekeo na Nia ya dhati ya kutufikisha huko tulipokusudia.

Tatizo letu wengi, ni upinzani usio na tija (unakuta mtu anasema Fly over haina Tija).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…