Zitto Kabwe: Kwaheri John Magufuli, Buriani Tingatinga

Mnamponda zitto lakin ni mwanasiasa makini na ni bright nadhan kuliko wote he is genius..na anapenda kusoma na kujifunza bado anajipa fursa ni vyema tukawa na shauku ya kujifunza kuliko kuwa negative muda wote
 
Hauna maajabu.
 
Zitto bana! Kwa Mkwere ulikaa kimya, kwa Magu asee mzee wa kutupa mawe. Ngoja tuone kwa mwenzio Samia....stay tuned!
ZITTO anafanana sana tabia na mdogo wake Babalevo na Aristotle. ZITTO alikuwa chawa wa mkwere
 
Umenena vyema mkuu nimesoma yoote aseehh inahuzunisha sana.. Rest in peace TingaTinga
 
ZITTO hakupendezewa na Chuma kwa kuwa alikuwa hadakishi posho.
 
Ni kweli.
 
Disease of the soul
 
Magharibi ya Aprili 7, 1972 ilipothibitika kwamba Sheikh Karume aliuawa, kuna bibi mmoja kizee aliyetoka nje ya nyumba bila ya kujistiri sawasawa. Alikuwa akirukaruka nje akishangilia mauaji ya Karume. Bibi huyo akiitwa Mashavu binti Hassan. Alikuwa mamake Hanga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…