jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,603
- 3,776
Bavicha usiogope ni marudio tuu..lakini kama una hisi kudawa basi tulia ikuingie usipige kelele kama John Mnyika!
Pole sana bito injini nyuma wewe.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bavicha usiogope ni marudio tuu..lakini kama una hisi kudawa basi tulia ikuingie usipige kelele kama John Mnyika!
kipindi hakina maadili mru mpaka ubaulizwa mara ya mwisho ulifanya ngono lini.
Ina maana kafulia namna hyo mpaka anaenda kwenye vipindi vya hovyo hovyo?
Hao jamaa wameshikwa pabaya mwaka huu! Kwakuwa enaonda Zitto kimekuwa cha ovyo sio! Tulieni mpate Dozzi ya pili, tuliwaambia hamuwezi mfukuza Zitto mkabaki salama hamkusia.Mkasi sio kipindi cha hovyo nyau Wewe
Tundu lisu, polepole, Makamba wote wamepita hapo
Hivi huyu demu Salima sijui Salama anaweza akauliza swali kama hili ULIKUWA UNAHUSISHWA NA HIKI CHAMA CHA A.C.T KABLA HUJAONDOKA/HAUJAFUKUZWA CHADEMA NA KWELI ULIPOONDOKA TU UKAENDA KILE CHAMA ULICHOHUSISHWA NACHO KABLA NA INATUFANYA TUAMINI NI KWELI ULIANZISHA CHAMA NDANI YA CHAMA WE UNASEMAJE KUHUSU HILI ??????