johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zito ana mambo ya kitoto sana.KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada
Zitto Kabwe anasema yeye ndiye alimjazia fomu za kuomba Ubunge Halima Mdee kwa mara ya kwanza na ni yeye ndiye aliyempa taarifa kwamba Umeteuliwa kuwa Mbunge
Kwaresma njema!
Kumbe hapo ufipa st kuna kujaziana?!Zito ana mambo ya kitoto sana.
Wanaojaziana ndiyo huwa yanawashinda wanaondoka au wanafukuzwa kama hao wawiliKumbe hapo ufipa st kuna kujaziana?!
Mpenda sifa uchwaraZito ana mambo ya kitoto sana.
Kwahiyo wale covid-19 huenda walijaziwa kwa mujibu wa utamaduni!Wanaojaziana ndiyo huwa yanawashinda wanaondoka au wanafukuzwa kama hao wawili
Mpinge kwa hoja!Mpenda sifa uchwara
Bila shakaKwahiyo wale covid-19 huenda walijaziwa kwa mujibu wa utamaduni!
Siyo ya kitoto bali ya kishamba sanaZito ana mambo ya kitoto sana.
Na inawezekana kesi ikaisha mwaka huu akina CPA Ruge wakaenda kumalizia ngwe iliyobakiBila shaka
😆Siyo ya kitoto bali ya kishamba sana
Sawa fungate limeanza!KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada
Zitto Kabwe anasema yeye ndiye alimjazia fomu za kuomba Ubunge Halima Mdee kwa mara ya kwanza na ni yeye ndiye aliyempa taarifa kwamba Umeteuliwa kuwa Mbunge
Kwaresma njema!
Hapo Udini ndio silaha ya zittoKC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada
Zitto Kabwe anasema yeye ndiye alimjazia fomu za kuomba Ubunge Halima Mdee kwa mara ya kwanza na ni yeye ndiye aliyempa taarifa kwamba Umeteuliwa kuwa Mbunge
Kwaresma njema!
Form ya ubunge huu wa covid 19 maana viongozi wa Chadema wamekana kupitisha hizo formKC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada
Zitto Kabwe anasema yeye ndiye alimjazia fomu za kuomba Ubunge Halima Mdee kwa mara ya kwanza na ni yeye ndiye aliyempa taarifa kwamba Umeteuliwa kuwa Mbunge
Kwaresma njema!
Huyu Halima James Mdee ni mgalatia!Hapo Udini ndio silaha ya zitto
USSR
Halima hakujua kujaza form? .mwaka 20119 wanachadema wengi walishindwa kujaza form za kugombea serkali za mitaaKumbe hapo ufipa st kuna kujaziana?!
Atamsilimisha tu hilo jina halima zitto analitamani sanaHuyu Halima James Mdee ni mgalatia!