johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Mara ya kwanza!Form ya ubunge huu wa covid 19 maana viongozi wa Chadema wamekana kupitisha hizo form
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya kwanza!Form ya ubunge huu wa covid 19 maana viongozi wa Chadema wamekana kupitisha hizo form
😀Atamsilimisha tu hilo jina halima zitto analitamani sana
USSR
Kweli, kumbe hata binti wa Bulembo naye ni Halima,ana wito na akina Halima.Atamsilimisha tu hilo jina halima zitto analitamani sana
USSR
Kumjazia mtu fomu ya Kugombea Ubunge siyo swala Dogo bwashee!
Kwahiyo ni kawaida hapo Chadema kujaziana fomu?Ilikuwa fomu ya ubunge wa Marekani nini? Maana hilo ndio sio jambo dogo.
Nadhani makubaliano yameshafikiwa Ndio sababu Covid-19 wameamua kuhamia ACT WazalendoCovid-19 watapigwa chini kiaina KWA kukosa sifa za kuendelea kuwa WABUNGE KWA kuhamia ACT wazalendo na gap lao litazibwa na wateule wapya KUTOKEA CCM!
Ndipo hoja ya Bunge la chama kimoja itatamalaki na marekebisho ya katiba yataanza kusikika Bungeni Rasmi!!!
KIMBILIO la covid-19 ni ACT wazalendo!!
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo Sana kwakweli!!
Nchi ina mamb ya hovyo wapinzani uchwara wana mambo ya hovyo hovyo tu!!KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada
Zitto Kabwe anasema yeye ndiye alimjazia fomu za kuomba Ubunge Halima Mdee kwa mara ya kwanza na ni yeye ndiye aliyempa taarifa kwamba Umeteuliwa kuwa Mbunge
Kwaresma njema!