Zitto Kabwe: Mimi na Halima Mdee tumetoka mbali sana hata fomu za kugombea Ubunge mimi ndiye nilimjazia mara ya kwanza!

Ilikuwa fomu ya ubunge wa Marekani nini? Maana hilo ndio sio jambo dogo.
Kwahiyo ni kawaida hapo Chadema kujaziana fomu?

Sasa mbona mlijifanya kuhoji Nusrat Hanje alijazaje fomu!!😂
 
Kama ndio ukweli wenyewe wacha usemwe, walikuwa Chadema wote pamoja wakileana kama kaka na dada.
 
Covid-19 watapigwa chini kiaina KWA kukosa sifa za kuendelea kuwa WABUNGE KWA kuhamia ACT wazalendo na gap lao litazibwa na wateule wapya KUTOKEA CCM!

Ndipo hoja ya Bunge la chama kimoja itatamalaki na marekebisho ya katiba yataanza kusikika Bungeni Rasmi!!!

KIMBILIO la covid-19 ni ACT wazalendo!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo Sana kwakweli!!
 
Nadhani makubaliano yameshafikiwa Ndio sababu Covid-19 wameamua kuhamia ACT Wazalendo
 
Nchi ina mamb ya hovyo wapinzani uchwara wana mambo ya hovyo hovyo tu!!
 
..Halima Mdee ni mjenga hoja mzuri, sidhani kama hata Dakta.Samia anaweza kupambana naye.

..Ccm watu wanabebwa tu na mfumo lakini hawana vipaji au uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…