Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Upo sahihi lakini ni kweli tunatakiwa tuwe na upungufu wa sukari kila mwaka Tanzania na kwa nini hicho kitu Nchi zingine majirani zetu hakuna na wana bei pungufu kuliko sisi na ni hao hao Ilovo...Sukari nayo ni addiction mzee
Ova
Nawe jifunze kuleta mada! Hata namba unajiandikia tu! Unawezaje kuandika tani ya sukari 250,000/= unajua maana ya '/=' Kila siku uko JF unawezaje kujiandikia madudu haya!Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
She might be part of embezzlement, both the victims and potential to the social funds have to start voicing up as they can't breathe until they part it away for their gripI am wondering why Tanzanian institutions do not stick to their lane.
NSSF I am told is into real estate while it takes ages for NSSF to honour it's obligations to its members.
We have a full minister overseeing this shit but she is mum.
Naomba ufafanue tafadhaliTatizo la biashara ya Sukari ni Syndicate iliyopo
Mapagale ya Kigamboni kaama unaelekea Kimbiji yalitelekezwa na NSSF wakashauriwa waingie makubaliano na taasisi zinazojiendesha kibiashara ziyaendeleze lakini wapi. Mamilioni yatumbukia msalani bureYale mapagale/ maboma ya Kigamboni vipi?
Je ni nini hatima yake?
Fedha za waTZ zipotee bure?
Kaulize kaburi kule chathohela zetu zimeenda wapi sasa?
Nakumbuka Mama Jenister Mhagama alikuwa anapiga sana ' selfie' akikagua mashamba hayo ya miwa na uwekezaji huo wa NSSF/ Magereza, labda sasa anaweza tupa mrejesho...... kaazikweli kweli.I am wondering why Tanzanian institutions do not stick to their lane.
NSSF I am told is into real estate while it takes ages for NSSF to honour it's obligations to its members.
We have a full minister overseeing this shit but she is mum.
Cc King Kong IIIHalafu wastaafu wanacheleweshewa mafao kumbe kuna watu wanachukua mihela yao kwenda kufanya white elephant projects
Kigezo kilichotumika kumteua huyu mdada kua waziri bado Ni Siri. Mimi Bado sijakiona.Nakumbuka Mama Jenister Mhagama alikuwa anapiga sana ' selfie' akikagua mashamba hayo ya miwa na uwekezaji huo wa NSSF/ Magereza, labda sasa anaweza tupa mrejesho...... kaazikweli kweli.
Zimeteketea huyu Erio aliususa mradhela zetu zimeenda wapi sasa?
Mwendazake angetusaidia kujibu sasa hayupoSasa tufanyeje?
Baadh ya mashine zipo
Ndugu, CCM imefunga watanzania minyororo ya ubongo,tumebaki kushangilia tu matukio!! Leo tunamshangilia mama!! Na kujidai tumepata Rais mwanamke!!tunasahau kuwa anatokana na chama kile kile, cha watuIla hii nchi tunapigwa, ila na tulivyo wajinga na mafala tunaishia kushangilia, huu ujinga wetu utatuisha lini?
Kwa nini tuna kiwango hiki cha ujinga?
Ni lini utambuzi utatuijia?