Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Sana bila wa kusahau na ule mradi wa jimboni kwake wa kununua viwania kwa heka milioni 200.
Inabidi upelekwe mswada wa kulinda hela za wastaafu kwani watu wanajichotea tu.
Kwani wakati ule ilisemekana kuwa ekari 1 ilinunuliwa kwa shilingi 800 Mil ?
Kwani sababu ya kuzuiwa kuendelea na ule ujenzi itakuwa ni zipi kwa yale Mapagale ya maghorofa ya Kigamboni?! [emoji2369]
Kazi ipo!