Pre GE2025 Zitto Kabwe mwanasiasa mwenye akili nyingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana

Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mbowe ameendelea kung'ang'ania madaraka Kwa miaka 20 ivi unazani ni Kuna demokrasia kweli ndani chadema iyo wanayo ihubiri?

ACT ni chama kizuri sana, hongera Zitto, naliona anguko la CHADEMA kama CUF, NCCR, TLP.
 
Soma katiba ya ACT na soma katiba ya CHADEMA.

Zitto pale ACT yupo na madaraka makubwa Sana tena Sana hivyo alichokifanya Zitto nikukinyima nguvu cheo cha Mwenyekiti na yeye kujipa Nguvu ktk chama chake.

Ila CHADEMA mwenyekiti anamiliki madaraka makubwa kuliko watu wote.

So hawa wanasiasa wote watz asilimia kubwa wapo Kwa ajili ya msilahi yao binafsi.
 
Mkuu zito ni walewale.zito +mbowe=ni watu wa system.WAPO KWENYE PAYROL YA CCM.angalia uanzishwaji wa ACT WAZELENDO Ulikuwa umeratibiwa na MKWERE( JK) KWA 100% nia na madhumuni ni KUDHOOFISHA UPINZANI.zito ni AYATOLAH.
 
Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana

Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mbowe ameendelea kung'ang'ania madaraka Kwa miaka 20 ivi unazani ni Kuna demokrasia kweli ndani chadema iyo wanayo ihubiri?

ACT ni chama kizuri sana, hongera Zitto, naliona anguko la CHADEMA kama CUF, NCCR, TLP.
Abduli umepona Lakini?
 
Kama humfahamu AYATOLAH WA IRAN ndyo zito kabwe wa ACT WAZALENDO
Jidanganye mkuu mbowe ni zero huwezi taka demokrasia uku ndani ya chama chako imekushinda
 
BORA yeye tunaona ata demkrasia ona mbowe miaka 20 kweli ni yeye tu?
Mkuu zito ni walewale.zito +mbowe=ni watu wa system.WAPO KWENYE PAYROL YA CCM.angalia uanzishwaji wa ACT WAZELENDO Ulikuwa umeratibiwa na MKWERE( JK) KWA 100% nia na madhumuni ni KUDHOOFISHA UPINZANI.zito ni AYATOLAH.B
 
Soma katiba ya ACT na soma katiba ya CHADEMA.

Zitto pale ACT yupo na madaraka makubwa Sana tena Sana hivyo alichokifanya Zitto nikukinyima nguvu cheo cha Mwenyekiti na yeye kujipa Nguvu ktk chama chake.

Ila CHADEMA mwenyekiti anamiliki madaraka makubwa kuliko watu wote.

So hawa wanasiasa wote watz asilimia kubwa wapo Kwa ajili ya msilahi yao binafsi.
Bora yeye mfumo unaweza msaidia ku twist ata akifa ANAO waacha hawato hangaika
 
Soma katiba ya ACT na soma katiba ya CHADEMA.

Zitto pale ACT yupo na madaraka makubwa Sana tena Sana hivyo alichokifanya Zitto nikukinyima nguvu cheo cha Mwenyekiti na yeye kujipa Nguvu ktk chama chake.

Ila CHADEMA mwenyekiti anamiliki madaraka makubwa kuliko watu wote.

So hawa wanasiasa wote watz asilimia kubwa wapo Kwa ajili ya msilahi yao binafsi.
Ni kweli hata mwenyekiti wa ACT , hajulikani kihivyo ,zaidi ya yeye zitto🤔
 
Back
Top Bottom