Abduli umepona Lakini?Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana
Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura
Mbowe ameendelea kung'ang'ania madaraka Kwa miaka 20 ivi unazani ni Kuna demokrasia kweli ndani chadema iyo wanayo ihubiri?
ACT ni chama kizuri sana, hongera Zitto, naliona anguko la CHADEMA kama CUF, NCCR, TLP.
KcKama humfahamu AYATOLAH WA IRAN ndyo zito kabwe wa ACT WAZALENDO
Mkuu zito ni walewale.zito +mbowe=ni watu wa system.WAPO KWENYE PAYROL YA CCM.angalia uanzishwaji wa ACT WAZELENDO Ulikuwa umeratibiwa na MKWERE( JK) KWA 100% nia na madhumuni ni KUDHOOFISHA UPINZANI.zito ni AYATOLAH.B
Bora yeye mfumo unaweza msaidia ku twist ata akifa ANAO waacha hawato hangaikaSoma katiba ya ACT na soma katiba ya CHADEMA.
Zitto pale ACT yupo na madaraka makubwa Sana tena Sana hivyo alichokifanya Zitto nikukinyima nguvu cheo cha Mwenyekiti na yeye kujipa Nguvu ktk chama chake.
Ila CHADEMA mwenyekiti anamiliki madaraka makubwa kuliko watu wote.
So hawa wanasiasa wote watz asilimia kubwa wapo Kwa ajili ya msilahi yao binafsi.
Ni kweli hata mwenyekiti wa ACT , hajulikani kihivyo ,zaidi ya yeye zittoš¤Soma katiba ya ACT na soma katiba ya CHADEMA.