johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Ninavyokumbuka alimuandikia barua ya kujiuzulu Spika wa wakati ule mama Makinda!Zitto alifukuzwa
Alivuliwa uanachama baada ya kujiuzulu ubunge?!Zitto alivuliwa uanachama, Cecil Mwambe aliondoka Chadema baada ya kuahidiwa muhula mwingine. Bwashee ulikuwa kijijini ukiuza mbege.
Kwani hairuhusiwi kujiuzulu ubunge kama Nyalandu au RA?!Ukishafukuzwa uanachama automatically/ unakuwa umejivua ubunge.
Alifukuzwa wapi?
zito aliondoka na faida mwambe he was a snitchNajikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Zitto alifukuzwa
Mwambe anajitambua bwashee!
Ujuaji mwingi kumbe hujui hata Zitto aliondokajeNajikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuambia barua yake ya kujiuzulu ubunge ipo Bungeni Dodoma.
Siasa za zama hizi zinamalizika na Corona baada ya hapo unakuja mfumo mpya utakaotawala dunia.Ndugu @johnthebaptist,unaweza kufanya siasa ili kizazi chako cha tatu au cha nne kije kufaidika na matunda yako!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
SAWA MWANACHUOSiasa za zama hizi zinamalizika na Corona baada ya hapo unakuja mfumo mpya utakaotawala dunia.
Usikariri bwashee!
Kwani Mwambe amenunuliwa na nani?