Zitto Kabwe na Cecil Mwambe waliondoka CHADEMA kishujaa bila kuogopa njaa!

Wanashida gani wana mafao lumumba?
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha kuifanya watu wajinga,
Hawa wasaliti walifukuzwa.
 
Kila siku huwa namin wewe huna akili timamu. Hiyo analysis ya ulinganisho umetumia kigezo gani? Takataka wewe . Ati maendeleo chama. Wewe mwenyewe una chama? Tena mbaguzi mkubwa kutwa kucha kusambaza uzushi na uzandiki hapa.
Utakuja kufa mdomo wazi mbwa wewe
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto alisema angekuwa wa mwisho kuondoka Chadema alivyofukuzwa kutokana na yale mambo yake, akaenda mahakamani kupinga, akashindwa kesi, kutokana na yeye kwenda mahakamani akawa amejiondoa Chadema automatically kwa kukiuka kipengele kinachomtaka mwanachama asiende mahakamani kwa issue za kichama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto hakufukuzwa chadema

Huyu dada ni mbea sana
IMG-20200211-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!
Khs Mh Zitto fanya tna utafiti wako kwa kkusaidia alichukua mafao yke yote tna wabunge wote wa CCM walikuwa nyuma yke kwenye mkusaidia kulipwa mafao yke...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!
Unachotaka kusema huyu jamaa anayesubiri mafao ana njaa?
 
Ukishafukuzwa uanachama automatically/ unakuwa umejivua ubunge.
Zitto alifukuzwa uanachama lakini hakuvuliwa ubunge,mahakama ilishikilia ubunge wake mpaka bunge lilipo vunjwa na kupewa stahiki zake Kama mbuge wetu
 
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!
Mtoa mada elewa kuwa wote walioacha ubunge wanapewa stahiki zao zote kwa muda waliofanya kazi bungeni,spika wa bunge alishaelezea hilo pindi mwambe anakacha ubunge,mlipaji wa mafao siyo bunge ni mifuko ya jamii iliyokuwa inamkata pesa kwenye mishahara yake,kwa kinachofanywa na mifuko hii ya jamii wanahesabu miezi aliyo changia then wanakulipa,ukiwa umechangia miezi mingi zaidi fao lako linakuwa kubwa miezi michache fao lako linakuwa kiduchu hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom