Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!

Alifukuzwa akaenda kupinga mahakamaniMwambe anajitambua bwashee!
Zitto alisema angekuwa wa mwisho kuondoka Chadema alivyofukuzwa kutokana na yale mambo yake, akaenda mahakamani kupinga, akashindwa kesi, kutokana na yeye kwenda mahakamani akawa amejiondoa Chadema automatically kwa kukiuka kipengele kinachomtaka mwanachama asiende mahakamani kwa issue za kichama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada ni mbea sanaKila siku huwa namin wewe huna akili timamu. Hiyo analysis ya ulinganisho umetumia kigezo gani? Takataka wewe . Ati maendeleo chama. Wewe mwenyewe una chama? Tena mbaguzi mkubwa kutwa kucha kusambaza uzushi na uzandiki hapa.
Utakuja kufa mdomo wazi mbwa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto alisema atakuwa wa Mwisho kutoka CHADEMA. Tundu Lissu aka mfukuzia viwanja vya Mahakama b4 uwe una smartphone
Khs Mh Zitto fanya tna utafiti wako kwa kkusaidia alichukua mafao yke yote tna wabunge wote wa CCM walikuwa nyuma yke kwenye mkusaidia kulipwa mafao yke...Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Unachotaka kusema huyu jamaa anayesubiri mafao ana njaa?Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Zitto alifukuzwa uanachama lakini hakuvuliwa ubunge,mahakama ilishikilia ubunge wake mpaka bunge lilipo vunjwa na kupewa stahiki zake Kama mbuge wetuUkishafukuzwa uanachama automatically/ unakuwa umejivua ubunge.
Huna unachokijua wewe! kachukue buku 7 yako! Zito alifukuzwa akakimbilia mahakani! au kipindi hicho ulikuwa hujasajiliwa lumumba?Alifukuzwa wapi?
Bungeni kuna barua yake ya kujiuzulu ubunge!
Alifukuzwa ubunge?Huna unachokijua wewe! kachukue buku 7 yako! Zito alifukuzwa akakimbilia mahakani! au kipindi hicho ulikuwa hujasajiliwa lumumba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada elewa kuwa wote walioacha ubunge wanapewa stahiki zao zote kwa muda waliofanya kazi bungeni,spika wa bunge alishaelezea hilo pindi mwambe anakacha ubunge,mlipaji wa mafao siyo bunge ni mifuko ya jamii iliyokuwa inamkata pesa kwenye mishahara yake,kwa kinachofanywa na mifuko hii ya jamii wanahesabu miezi aliyo changia then wanakulipa,ukiwa umechangia miezi mingi zaidi fao lako linakuwa kubwa miezi michache fao lako linakuwa kiduchu hivyo hivyoNajikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.
Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.
Maendeleo hayana vyama!
Zito hakufukuzwa chadema hakupewa barua....Zitto alifukuzwa