Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Mengi uliyoeleza si kushindwa kwa binafsi, ni kutiliwa kauzibe na wenye chuki, pia ya mume wake si kushindwa kwake.
 
Yupo mbinguni?Nikimkuta naondoka zangu.
 
Pengo huyu huyu? Kuhani anajisifu kuwa safi kwa nje ila ndani amejaa unafiki?
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
 
we taga acha watu wafunguke bana miaka ya jiwe ilikua migumu sana , watu wameteswa wameuawa wamebambikiwa kesi wameokotwa kwenye viroba etc, hiyo mbingu unayoongelea sijui ni ipi sema atakua anaungua motoni huko maana alikua katili sana yule bwana
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
W.T.F!!!!! Mafuta matakatifu?????????? Mungu hadhihakiwi ndugu
 
Bwashee nan aliekwambia huko kuna mapmziko nan???huko ni mkong'oto wa milele au raha ya milele.Na kwa namna huyo kiumbe alivyoumiza wenzake acha apate anachostahik
 
Fighting with dead body.

Marehemu kama alikuwa katili kwa pumbavu kama hizi yuko sawa kabisa na Mungu amrehemu huko aliko na tunaomba sana aje katili zaidi yake apambane na hizi Pumbavu/ RIP Nzilakende Mwamba wa Chato Pumzika kwa amani Chuma.
Chuma kinaliwa na mafinyo finyo huko
 
Mwendazake hayupo mbinguni"
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Endelea kufanya ufirauni hapa duniani ukategemea mafuta ya pengo.
 
Alivyokuwa hai na madarakani hakuruhusu mijadala kumhusu yeye, kila aliyeandika kumhusu yeye kum challenge mnajua kilichomkuta, kwa hiyo ni kweli acheni watu wamwange nyogo zako leo.

Kama angeruhusu haya wakati wa uhai wake yangekuwa ni marudio na hakuna angejali, ila kwa sasa haya ni habari tena moto moto.
 
Mkuu

Huyo msanii wa nyimbo ana nongwa baada ya bwanake kutumbuliwa akiwa mkuu wa mkoa wa Morogoro na yeye kutoteuliwa kuwa mbunge wa viti maalumu kwa kipindi chote cha utawala wake.

Wezi wote lazima wajitokeze hadharani kwa sasa kwa kuwa hakuna wa kuwakemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…