Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Kufa tutakufa ila
Ni ibada ambayo itatimizwa na kila mwanadamu siku ikifika, wewe na mimi tutakufa pia nyakati zetu zikifika..
Kufa tutakufa ila tufe tukiacha tabasamu duniani. Wewe unadhani ndugu zake Benn Saanane na wengine mpaka leo wanaishi vipi?
 
Hakuna anayemkejeli Magufuli. Wote wanaelezea sifa na wasifu wa Magufuli kama ilivyo kwa Marais wengine. Mbona mpo leo watu wanamuwongelea hayati baba awa taifa??
wanamwongelea kwa mazuri si kwa mabaya
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Mbona shetani alishakufa miaka karne lakini kila siku karibu dunia nzima inamshambulia.

Mbona Nyerere hadi leo anasemwa kwa mazuri alofanyia Afrika?

Ukitenda maovu huwezi kuachwa usishambuliwe.
Who is magufuli.
 
Haisaidii chochote kwa sasa bwashee.

Mufti Abubakar na Kardinali Pengo walimsafishia njia Magufuli kuelekea mbinguni!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] dhambi haziondolewi na mwanadamu bali na Mungu pekee.
Pango na shekhe walichofanya ni kumuombea msamaha tu kwa Mungu sasa sjui kama Mungu ni Athuman kiasi gani
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.Duh kweli mna network kubwa kumbe huwa mnaendelea na mawasiliano na mwendazake, asante kwa taarifa kuwa Mwendazake yuko MBINGUNI 😎😎😎🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Tuzidi kuomba uzima kwa Mungu tuzidi shuhudia Ujinga wa wengi
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.

mbinguni watu wanamtumia minyukano na inafika mpaka mnamwombea poo ?

basi mungu inabidi aweke sound proof ili watu wake wasibughudhiwe
 
Haisaidii chochote kwa sasa bwashee.

Mufti Abubakar na Kardinali Pengo walimsafishia njia Magufuli kuelekea mbinguni!
Ha ha ha, kada mwenzangu, hakuna mbinguni,, [emoji23] hizi dini za wazungu na waarabu zisikuchanganye,, hakuna mbinguni[emoji125][emoji125][emoji125][emoji2788][emoji2788]
 
View attachment 1984708
Kwa kweli wamuache apumzike
Kuna maono niliota yakiashiria hayati Magufuli kuandamwa na roho ya kisasi, nikawa nimewasihi wana JF wenzangu kumwombea msamaha na rehema ili Mwenyezi Mungu aweze kumsamehe makosa yake na apokelewe huko mbinguni. Pia nikawa nimewasihi wote walio na kinyongo na hayati waachie moyo wa msamaha, hii itasaidia pia yeye kuweza kupata msamaha na rehema kwa Mungu. Maana binadamu wote sisi siyo wakamilifu, huwa tunakoseana hapa na pale, na pia siyo wakamilifu mbele ya Muumba, tunazo dhambi za wazi kabisa na nyingine za kificho tunazoziita siri, lakini hatujui kuwa Mungu mwenyezi anaona hadi kwenye mawazo ya fikra zako..........​
 
Ha ha ha, kada mwenzangu, hakuna mbinguni,, [emoji23] hizi dini za wazungu na waarabu zisikuchanganye,, hakuna mbinguni[emoji125][emoji125][emoji125][emoji2788][emoji2788]
Hahahaaaa...... Heri yao Waaminio!
 
Kuna maono niliota yakiashiria hayati Magufuli kuandamwa na roho ya kisasi, nikawa nimewasihi wana JF wenzangu kumwombea msamaha na rehema ili Mwenyezi Mungu aweze kumsamehe makosa yake na apokelewe huko mbinguni. Pia nikawa nimewasihi wote walio na kinyongo na hayati waachie moyo wa msamaha, hii itasaidia pia yeye kuweza kupata msamaha na rehema kwa Mungu. Maana binadamu wote sisi siyo wakamilifu, huwa tunakoseana hapa na pale, na pia siyo wakamilifu mbele ya Muumba, tunazo dhambi za wazi kabisa na nyingine za kificho tunazoziita siri, lakini hatujui kuwa Mungu mwenyezi anaona hadi kwenye mawazo ya fikra zako..........​
Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Kwa Mungu sio kwa Mzungu au uchaguzi mkuu. Kama alikuwa akitenda haki basi atalipwa kwa haki na kama alikuwa akizulumu haki za wenzake, akiwaonea wapinzani waki wa kisiasa basi hana budi kupokea hukumu yake.

Hapo ndipo Tunasema mwacheni Mungu aitwe Mungu sababu hukumu zake ni haki tupu
 
Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
Zile visions nilizoona mtu kashika bunduki ya kivita anamyooshea mwamba kana kwamba anataka kulipiza kisasi, zilinisikitisha sana.....akapata upenyo wa kukimbia lakini huyo mtu akaendelea kumkimbiza hali kamyooshea mtutu na watu tuliokuwa pale hatuna la kufanya.
 
Huyu hawala wa Msogagang Hana shukurani,pamoja na JPM kumteua mmewe kuwa gavana msaidizi, leo analetaujuaji kumbe kichwani empty.

Kwani bila kumsema Magufuli vibaya huwezi kuteuliwa?

Watakuteua tu hawala yako si ndo anaongoza nchi.Ila mzee wawatu wacha apumzike hata angekuwa na Roho mbaya Kama shetani.
 
Matendo ya mwanadamu ndo uamua awe mbinguni au kuzimu.Kila mtu uchagua upande unaomfaa
 
Back
Top Bottom