Hakuna anayemkejeli Magufuli. Wote wanaelezea sifa na wasifu wa Magufuli kama ilivyo kwa Marais wengine. Mbona mpo leo watu wanamuwongelea hayati baba awa taifa??Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Fighting with dead body.
Hebu peleka akili kisoda hukoWewe ndio huoni soni!
Umeshafura!Hebu peleka akili kisoda huko
Mufti na pengo hawana za kugawia watu mbinguHaisaidii chochote kwa sasa bwashee.
Mufti Abubakar na Kardinali Pengo walimsafishia njia Magufuli kuelekea mbinguni!
Mkuu umejuaje kwamba aliyeenda yuko mbinguni kwa baba vp ulimtembelea huko?Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Ukitubu dhambi zako wewe mwenyewe kabla hujatwaliwa unakwenda mbinguni.Mkuu umejuaje kwamba aliyeenda yuko mbinguni kwa baba vp ulimtembelea huko?
Tubu ndugu yangu upate kuokoka!
Mleta Mada Ni Mnafki Sana Kiwango Cha Juu Sana/Lami
Nawe komaa nae upate kikiInaonekana njia rahisi ya kupata kick ni kukomaa na Hayati...
Haa TehTubu ndugu yangu upate kuokoka!
Kwa mujibu wa maandiko.
Hawa ndio team Msonga originallyHii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Niko skeptic na hii myth ya mafuta matakatifu.Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.
Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Mafuta ni ishara tu.Niko skeptic na hii myth ya mafuta matakatifu.
Yesu alisema yeyote atakayemkiri kwa kinywa chake na kuomba kusamehewa dhambi zake ataokolewa.
Binadamu tunajitoa ufahamu na kuingia mitego ya adui.
Mafuta matakatifu yaliisha maana yake pale alipozaliwa Yesu Kristo. Baada ya hapo kila kitu ni kwa Imani.
Tuache kasumba.
Hiki kikundi kipo chini ya kikwete.Zitto Kabwe,Diallo,Vicky Kamata.Yaan wamepanga kufanya hivyo.Ndio Maana utaona hata Amos Makalla ,ni mkuu wa,Mkoa .Ni level ya chini sana kulinganisha na Urais.Eti naye anamlaumu Rais Magufuli.Bagonza anatudanganya kuwa kikwete hayupo kwenye ushauri wa SSH.Lakini yanayotokea ni dhahiri yanaanzia kwa Kikwete. Na pia huyu SSH inaonekana yupo kuonyesha kuwa Magufuli hakuwa sawa.Yeye ndio bora.Lakin wakati utatoa majibu,na wanafiki wote wataumbuka.Kwani wanachofanya ni upuuzi mtupu.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Tumuache apumzike kwa kweli,haisaidii kitu kabisa .View attachment 1984716